SHARE

Msukuma Mshamba Lyrics by Msodoki

SHARE

Read and sing aloud Msukuma Mshamba Lyrics by Msodoki. The rap song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Bachela Lyrics by Nay Wa Mitego

Read and sing aloud Msukuma Mshamba Lyrics by Msodoki below:

Vunja mfupa kama ipo meno 

Nimove u-move 

Bosi hana neno ila wapambe wana nguvu 

Step by step with ma-geez 

Coz my status is big now more than 

99 degrees 

Moyo mama ni karume an my soul is free 

Sit back relax open eyes and see 

Mikasa sukasa mufasa nawapoteza faster kama joto ndani ya room ya AC 

Sinaga Swagga on top tuna-count tu blessing no time to waste

Can't speak about the hater now 

Place cross tu-place 

Mwanza mwanza in the house now 

Yes Yes Yes na score Nike 

Najua unajua hadi unakera inabidi upunguze ujuaji 

Heshimu watu hela inaweza isikupe kila unachohitaji 

Mpera mpera kama mwela kashika washkaji 

Ukisinzia kisela kula stori alafu shushia na maji 

Related

ADVERTISEMENT