SHARE

Read Shu Lyrics By Aslay

SHARE

Read And Enjoy Shu Lyrics By Aslay. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa in general

READ ALSO: Read Arejee Lyrics By Aslay

Read Shu Lyrics By Aslay Below:

Ooh!

Yuko wapi aliosema kiko wapi

Yuko wapi alisema utateseka 

Yuko wapi alisema hutompata kama yeee

Mmh yuko wapi alio kurusha roho 

Yuko wapi aliye taka ukate roho 

Yuko wapi aliyesema hutoishi bila yeye 

Mmh 

Ona Mungu namipango yake 

Ivi ataficha wapi sura yake 

Yuko wapi aliosema wewe sio mwanamke 

Wakuishi nayee

Mi naona kama vile chura kampiga teke 

Umekuwa mdogo mtoto mtekemteke

Yuko wapi aliosema wewe si lolote sio chochoote

Alelele aah 

Waite waite waite wakuone una ng’arang’ara

Aiiih

Waite waite waite wakuone mmh ulivo ,hung’arara

Nia yake akuone unateseka 

Limemshuka shuu ayeye 

Limemshuka shuu yeyeye

Limeshuka shu! shu! shu!

Nia yake akuone unatapatapa

Limemshuka shu muone 

Limemshuka wololo

Limemshuka shu! shu! shu!

Okay! kula mama unenepe 

Kula usiyakumbuke masekeseke 

Aliyo kupa wewe kipindi uko naee

Eeh  aah 

Sialitaka akucheke 

We mchape matukio ateseke 

Nahua ata yeye anakuwaza wewe

 Aah! 

Piga  picha kali kali kwenye maghorofa 

Swimming pool na magari yakukodisha 

Benz sio yako omba piga nayo picha akuone

Post na madollar fake kumuonyesha 

Kama kule kwake ulikuwa unateseka

Caption za machungu usiblock asome

alelele

Waite waite waite wakuone una ng’arang’ara

Waite waite waite wakuone ulivo hung’ara

Alitaka uteseke 

Limemshuka shu yule 

Limemshuka shu yule yule 

Limemshuka shu! shu! shu!

Muone anaona hayaa

Limeshuka shu anaona hayaa

Limemshuka shu yule

Limemshuka shu! shu! shu! 

Ana roho mbaya ana roho mbaya 

Ana roho mbaya ana roho mbaya

Ana roho mbaya anaa roho mbaya 

Ana ona haya ana roho mbaya

Related

ADVERTISEMENT