Read Arejee Lyrics By Aslay
Read And Enjoy Arejee Lyrics By Aslay. The song marks another time Aslay has scored a hit in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Nice Couple Lyrics By Aslay
Read Arejee Lyrics By Aslay Below:
VERSE 1
Penzi limekatika limebomoka
Limeangusha jabali
Hot stories
Hatujafika tunapotaka katikati ya safari
Mwenyewe changama
Kinazaa ……
Wamekivua wavuvi haram
Wananiandama
Eeeh Mungu Wangu
Nimepungua mwili pamoja na dam
BRIDGE
Mateso sijazoea nimebaki
Mpeweke sina furaha
Mawazo mama yamenizidia
Kama kinda na ndege sina mabawa
Nitakata pumzi kisa mapenzi
Unavyofanya sio sawa
Hata kama hawezi
Kufosi ni kichizi
Nimekubali kuwa chawa
CHORUS
Tafadhali mwambieni arejee
Arejee arejeee
Arejee arejeee
Namkumbukaga
Arejee arejeee
Arejee arejeee
VERSE 2
Ameveruga ubongo
Katibua na tumbo oooh
Amenivunja mgongo
Kama kuku mdondo
Amefelisha mchongo navisaka kwa bango
Oooh
Narejea mama mjengo
Sina raha
Namsaka kuku nimle supu nalia mama nalia
Sina nguvu ya buku nipp patupu
Mwbieni ataua
Nasukusuku kipekupeku
Hajayakata kimbia
Amepata matatu wenye misitu
Mi ngedere kanichunia
BRIDGE
Mateso sijazoea nimebaki
Mpeweke sina furaha
Mawazo mama yamenizidia
Kama kinda na ndege sina mabawa
Nitakata pumzi kisa mapenzi
Unavyofanya sio sawa
Hata kama hawezi
Kufosi ni kichizi
Nimekubali kuwa chawa
CHORUS
Tafadhali mwambieni arejee
Arejee arejeee
Arejee arejeee
Namkumbukaga
Arejee arejeee
Arejee arejeee