SHARE

Read 'Shika' Lyrics by Vanillah featuring Baddest 47

SHARE

Read Shika Lyrics By Vanillah featuring Baddest 47. The song is well-received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Read La La La Lyrics By Ali Kiba Featuring K2ga, Abdu Kiba, Tommy Flavour & Vanillah

Read Shika Lyrics by Vanillah featuring Baddest 47 Below:

Na nilipomuona moyo ulibabaika 

Ye wa Bongo Tanga sisi wa Tanganyika 

My totototo subiri kidogo nataka 

Kunena mi mwenzako 

Shika moyo shika shika hapa 

Shika hapa 

Acha kuringa ujue 

We nakupa moyo shika hapa 

Acha kuvimba vimba 

We mtoto nakupa moyo Oooh 

Shika shika moyo 

Moyo moyo shika shika moyo 

Eeeh bwana shika moyo shika mtima 

Chaneli inayumba shika shika antena 

Shika toyo kuja tena gari yako 

Nishaagiza iko kwa kontena 

Aaah eeeeh serious 

Moyo umekudondokea serious 

Eeeh serious hakuna wa 

Kucompare serious

Huko na vitu vitu flani amazing 

Saa sita hapo kifuani amazing 

Shika shika hapa kifuani amazing 

I like that you are so funny 

Hasa usisite shika hiyo 

Usiogope shika hiyo 

Usisite shika hiyo 

Usiogope shika hiyo 

Shika moyo shika shika hapa 

Shika hapa 

Acha kuringa ujue 

We nakupa moyo shika hapa 

Acha kuvimba vimba 

We mtoto nakupa moyo Oooh 

Shika shika moyo 

Moyo moyo shika shika moyo 

Related

ADVERTISEMENT