Read Shem Lyrics by Ibraah
Read and sing aloud Shem Lyrics by Ibraah. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Ibraah joins forces with Dj Tarico in 'Shem'
Read Shem Lyrics by Ibraah below:
Its Chinga again
Aaaah oya
Shem kantongoza kanitongoza
Shem kantongoza
Malaya aweeeh jina langu
La utani hilo
Malaya aweeeh jina langu
La utani hilo
No loss when you see me
Club i move like boss
Pisi za wadosi
They like to take photo
Me i take pose
Yeah mademu wananitaka sitongozi
Nimezichoka simu za kina Rozi
Niko na teacher Konde Mkombozi
Wanangu wa kitaani
Chaf pozi
Shemu shemu shemu shemu
Kanitongoza shem kanitongoza
Shemu shemu shemu shemu
Kanitongoza shem kanitongoza
Everybody move move
Move move pose
Let's move move move move pose
Yes move move move move pose
Move move move move pose
Alafu tunatake pose
Fanya kama unaipoza
Alafu tunatake pose
Chanzo cha kuniita malaya
Kisa nikiwa kwenye party naspend
Na sipendi kulala weekend
Napenda watoto wenye
Mzigo na mtindi
Na wakati wa kulala pisi zisiwe
Chache ziwe nyingi
Maana watoto wanapenda shilingi
Yani pesa kama huna watakutesa
Aiwenaaaa
Magheto ufate nini hoteli zote hizo
Aiweee chukua chumba mmalizane
Usitake mazoea watakusumbua
Aiwenaaaaa
Watoto wa mjini wanapenda vya dezo
Aiwena
Pesa yako ya mawazo ibane
Usitake tulaumiane watakuchunua
Shemu shemu shemu shemu
Kanitongoza shem kanitongoza
Shemu shemu shemu shemu
Kanitongoza shem kanitongoza
Everybody move move
Move move pose
Let's move move move move pose
Yes move move move move pose
Move move move move pose
Alafu tunatake pose
Fanya kama unaipoza
Alafu tunatake pose