Read Say Yes Lyrics Dj Seven & Harmonize
Read Say Yes Lyrics Dj Seven & Harmonize. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Namficha Lyrics By Dj Joozey Ft Harmonize
Say Yes Lyrics Dj Seven & Harmonize Below:
I made this for you babe, my babe boo
Nilekeze mapungufu yako,
Mara nikikutazama unahitaji mtu
Wa kumuamini, nifanye mimi
Niambie shida zako pindi unapokwama,
Usiogope kuniambia mimi chonde niamini
Nifanye niwe wako, wa kwako peke yako,
Na utu wangu mali yako, I’m yours babe
Nimechagua kukupenda, iwe kwa kuku dagaa ama mlenda,
Mbivu na mbichi masiku yatakwenda, I’m yours babe
Baby kitendawili (tega),
Naziona popo mbili (macho)
Oo yes babe macho yamekuona wewe
Baby kitendawili (tega),
Naziona popo mbili (macho)
Macho yangu mimi mama yamekuona wewe, wewee eyee
Baby just say yes, can you say yes
Just say yes nakupendaa
Baby just say yes, can you say yes
Just say yes nakupendaa
Ulivyogo loyal, kitanda nakusifu choyo
Unawanyima hadi wakubwa, kiumri ni mdogo akili yako kubwa
Na kama nikikuudhi niambie
Lazima nitasema sorry baby,
Najua jinsi ya kusema sorry baby
Na kama nikikukera niambiee,
Lazima nitasema sorry babe,
I know how to say sorry baby
Nifanye niwe wako, wakwako peke yako,
Na utu wangum mali yako am yours babe
Nimechagua kukupenda, iwe kwa kuku dagaa ama mlenda,
Mbivu na mbichi masiku yatakwenda, I’m yours babe
Baby kitendawili (tega), naziona popo mbili (macho)
Oo yes babe macho yamekuona wewe
Baby kitendawili (tega), naziona popo mbili (macho)
Macho yangu mimi mama yamekuona wewe, wewe eyee
Baby just say yes, can you say yes,
Just say yes, nakupendaa
Baby just say yes, can you say yes,
Just say yes, nakupendaa