SHARE

Punguza Ushauri Lyrics by Roma Mkatoliki featuring AY & Nay Mitego

SHARE

Roma Mkatoliki Lyrics

Read and sing aloud Punguza Ushauri Lyrics by Roma Mkatoliki featuring AY & Nay Mitego. The song is found in Roma's newly released album titled Nipeni Maua Yangu.

READ ALSO: Paka Na Panya (Derby) Lyrics by Roma Mkatoliki featuring Latifah

Read Punguza Ushauri Lyrics by Roma Mkatoliki featuring AY & Nay Mitego below:

Niache nitambe niacheni nivimbe
Sipendi kero nnapokula jasho langu
Wewe ni pimbi usinipangie
Kwa raha zangu acha nile good time
Kwa raha zangu haukuwepo wakati nazitafuta

Kwa raha zangu hata nionge si za kwangu
Kwa raha zangu acha shobo wewe
Kwa raha zangu mimi kula jasho langu
Kwa raha zangu haukuwepo wakati nazitafuta
Kwa raha zangu nalewa kwa hela zangu
Kwa raha zangu haukuwepo wakati nazitafuta
Kwa raha zangu punguza ushauri bwana weee

Usinipangie matumizi yangu kaa tu kule
Kwanza nilipigika sikupata bure
Wakati umelala mi naamsha dude
Maisha yenyewe mafupi kama kima cha joti
Bata batani tena mixer kupost
Nakula na niliotafuta nao minoti
Pasua mawingu hata mawimbi na boti

Related

ADVERTISEMENT