Read Punguza Ego Lyrics By Mejja
Read, sing aloud enjoy Punguza Ego Lyrics By Mejja. The song is well received in Kenya and East Africa in general.
READ ALSO: VIDEO: Bensoul ft. Sauti Sol, Nviiri the Storyteller, Mejja - Nairobi
Read Punguza Ego Lyrics By Mejja Below:
Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego
Nilikuwa napenda sana form za ego
Nimepoteza vitu mob, juu ya ego
Hot stories
Ako ka ego, ah punguza ego e-ego
Nilikuwa na dem nilikuwa napenda sana
Aka kadem nilijua tutaoana
Nilishtuka vile tuliachana, juu ya ego
Tukikosana, singekubali kuwa wa kwanza kupiga
simu
Nikisikia kupiga, karoho kananiambia "Usipige"
Ah, saa niko single, ah juu ya ego
Nilingoja anipigie, alichoka akapigia chali
mwingine
Imagine ningeweka ego chini, nipige simu
ningekuwa na bibi
Imagine nilichagua ego, na hiyo life ikanihumble, haha
Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego (Ego)
Nilikuwa napenda sana form za ego (Ego)
Nimepoteza vitu mob, juu ya ego
Ako ka ego, ah punguza ego e-ego
A rich man's joke is always funny, so funny
Tunacheka na unabore, we just want your money,
ha-ha your money
Tunapapasa ego ndio utoboke mfuko
Tukule pesa yako tukimaliza tukuwache pekee
yako, ah
Ni juzi tu manze ulienda Dubai, ukikuja Kenya eh unajidai
"Is it safe? Huko Umo ni safe?"
Mmmh si ulizaliwa huko, punguza tumaringo
Acha ka ego msupa kabla life ikuhumble, ah
Nilikuwa na beste alikuwa anaitwa ego (Ego)
Nilikuwa napenda sana form za ego (Ego)
Nimepoteza vitu mob, juu ya ego
Ako ka ego, ah punguza ego e-ego