Read 'Nimependa Remix' Lyrics by Guardian Angel & Deus Derrick Ft Sammy G
Read Nimependa Remix Lyrics by Guardian Angel & Deus Derrick Ft Sammy G. The song has beeen well received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Gharama Lyrics By Guardian Angel Ft Rose Muhando
Read Nimependa Remix Lyrics by Guardian Angel & Deus Derrick Ft Sammy G below:
Mi sijutii kupata wokovu
Niungali kijana ayeeee
Iyeiii nimepata amani iliyo ya kweli
Hot stories
Amani ambayo sikupata kwingine
Mungu nayejivunia si Mungu niliyesikia
Ni Mungu ambaye nimeona akitenda
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
Sioni hasara Mungu ananipenda
Kwake napata raha kila kitu nafanyiwa
Sioni hasara Mungu ananipenda
Aiiii
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Heiiii nimependa
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Kuna changamoto katika safari
Ya wokovu ila mapito yako yanatendeka
Kwa wema
Piga simu pigia rafiki zako simu
Wote leo uwambie una shida sana unahitaji
Support ukimaliza pigia na Mungu wako goti
Kisha naye umwambie una shida sana unahitaji
Support hapo ndipo utaona nani anayekutania
Atakayekusaidia
Kwa Mungu wangu napata raha kila kitu
Nafanyiwa nina imani kwamba
Mungu ananipenda
Kwa Mungu wangu napata raha kila kitu
Nafanyiwa nina imani kwamba
Mungu ananipenda
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Heiiii nimependa
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Maandiko yanasema mkumbukwe Mungu muumba
Wako ungali kijana bado una nguvu
Maandiko yanasema mkumbukwe Mungu muumba
Wako ungali kijana bado una nguvu
Usijidanganye eti bado ungali kijana
Unavunja mifupa mifupa
Kuokoka ni uzeeni
Kwanza kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa
Maisha ni mafupi sana
Muishie Mungu
Kweli kufika uzeeni siku hizi ni majaliwa
Maisha ni mafupi sana
Muishie Mungu
Nimependa mimi nimependa nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Heiiii nimependa
Nimependa mimi nimependa nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza
Nimependa penda nimependa
Nimependa unvyonitembeza