Read Nampenda Lyrics By Barnaba Classic
Read Nampenda Lyrics By Barnaba Classic. The song is the first project from Barnaba Classic since releasing his "Love Sounds Different" album.
READ ALSO: Read Tamu Lyrics By Barnaba Classic Featuring Nandy
Read Nampenda Lyrics By Barnaba Classic Below:
Oooh oooh
Shida iko moja bado nampenda
Kumuacha sidhani ntaweza
Chapisheni magazeti gari
limefunga break kwake
Kama ni mechi nampa joleva
Mechi zote kwake nishacheza
Slishwi wali mbichi nalishwa mpaka vya ndichi
Mizigo abebe punda
Si kubebeshana huwaga si rahisi
Gari la mahaba twachunga
Hawakosekani mafisi
Mashaallah huba wangu limenikolea
Siambiwi sisikii penzi lake
pombe nimelewa
Jamani limetoshelea
Hakuna space ya kuchiti space ya usaliti
Ukituona wawili tumedumu
Ujue basi nampenda
Mishale ni mingi haikuwa rahisi namoenda
Nishawahi kumuacha ashawahi niacha ila
Ananipenda
Na tukirudiana penzi kama jipya
Ananipenda
Aaaah aaah
Kazi kutukana
Mitandaoni na mabando ya kukopa
Kujifanya na mnatujua
Kuliko wale waliotuzaa
Tulikotoka
Ooh Mopao kawa mohamed
Kisa mapenzi
Kabadili dini
Kipi cha kushangaza maisha yetu
Yanawahusu nini
Kama Mungu tunayemuabudu
Sote ni mmoja iwe pepo iwe motoji
Sote njia yetu ni moja
Walahi maneno yao yangekuwa mimba tayari
Matumbo yetu
Yangevimba bibi
Kumridhisha mwanadam kazi
Mizigo abebe punda
Si kubebeshana huwaga si rahisi
Gari la mahaba twachunga
Hawakosekani mafisi
Mashaallah huba wangu limenikolea
Siambiwi sisikii penzi lake
pombe nimelewa
Jamani limetoshelea
Hakuna space ya kuchiti space ya usaliti
Ukituona wawili tumedumu
Ujue basi nampenda
Mishale ni mingi haikuwa rahisi namoenda
Nishawahi kumuacha ashawahi niacha ila
Ananipenda
Na tukirudiana penzi kama jipya
Ananipenda