SHARE

Read Muhuni Lyrics By Mabantu

SHARE

Read And Enjoy Muhuni Lyrics By Mabantu. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa.

READ ALSO: Read Shemeji Lyrics By Mabantu Ft Baddest 47

Read Muhuni Lyrics By Mabantu Below:

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Si wanapenda kubang 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Kumaanisha nini 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Ikitokea wamekutenga dunia nzima i’ll be by your side mama 

Side Mama 

Tena ikitokea hata umeua umeletwa kwa mahakama alafu mi ndo judge hauna kesi mama 

Kesi mama 

Uliniomba nitulie nikatulia forever mi kushoto we kulia 

Ulipotoka mateso umetoka kulia 

Tuzae watoto tumake historia 

Ukisema unaniacha naomba kuuliza 

Unaniacha na nani 

Unaniacha na nani 

Ukisema umenichoka naomba kuuliza mimi umeniacha na nani ? 

Maana kisirani changu unaekiweza ni wewe 

Unaekituliza ni wewe 

Unaenipa furaha ni wewe 

We ndo best we ndo best 

We ndio furaha yangu ni wewe 

Unaenipa amani 

Unaenipa furaha 

We ndo best we ndo best

Unanifanya niko juu 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Ikitokea wamekuroga umekuwa chizi kama makopo tutaokota wote 

Tutaokota wote tena ikitokea siku ya mwisho mi peponi alafu we motoni huo moto tutachomwa wote 

Tutachomwa wote 

Ulisimama pale uliposema simama 

Sie mashemeji tulipendwa na mama 

Sio wakufa tu na kuzikana 

Ikiwezekana tufufuke wote kiama 

Ukisema unaniacha naomba kuuliza 

Unaniacha na nani 

Unaniacha na nani 

Ukisema umenichoka naomba kuuliza mimi umeniacha na nani ? 

Maana kisirani changu unaekiweza ni wewe 

Unaekituliza ni wewe 

Unaenipa furaha ni wewe 

We ndo best we ndo best 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Muhuni akipenda anapenda kweli 

Muhuni - Mabantu

Related

ADVERTISEMENT