Read Mauzauza Lyrics By Baddest 47
Read Mauzauza Lyrics By Baddest 47. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Zagamua Lyrics By Baddest 47 Featuring Mabantu
Read Mauzauza Lyrics By Baddest 47 Below:
Mauzauzaaa naona kama
Mauzauza
Walisema nisichomee
Hot stories
Nimechoma nimenasa
Anasaaaa
Unalala na hujasoma
Hutaki tuchome kumbe wanakuchoma (Anasaa)
Dhambi zako za Sodoma Gomola
Michezo yako ya mbuzi kagoma (Anasa)
Yani hapo ndo unafeli
Unanunua mapenzi love not for sale (Anasa)
Ogopa matapeli
Hatuchinji kuku mpaka aumwe kideli (Anasa)
Kupenda penda si tulikukataza
Kama umeachika kula nyama nyamaza
Ukizidisha kumtangaza
Kuna siku tutakukuta angaza
Mauzauzaaa naona kama
Mauzauza
Walisema nisichomee
Nimechoma nimenasa
Anasaaaa
Mauzauzaaa naona kama
Mauzauza
Walisema nisichomee
Nimechoma nimenasa
Anasaaaa
Kitambo mi nakutonya
Kutumia pesa na mtu nyuma hajashona (Anasa)
Kilometa zishasoma
Kutubania kisauti kama wakusoma (Anasa)
Sheet bora kushikwa ugoni
Ila kutumia pesa na kulala alone (Anasa)
Hata picha huoni
Kuna ka kitu anaficha na filter huoni (Anasa)
Mtakuja kutuua na presha
Mfundishe kuvaa demu wako anachekesha
Kuna vitu vya kuniendesha
Kama sio vijiti basi ujue ni pesa
Mauzauzaaa naona kama
Mauzauza
Walisema nisichomee
Nimechoma nimenasa
Anasaaaa
Mauzauzaaa naona kama
Mauzauza
Walisema nisichomee
Nimechoma nimenasa
Anasaaaa
Nimechoma nimenasa
Nimechoma nimenasa
Anasa