SHARE

Read 'Mamlaka' Lyrics by Nay Wa Mitego

SHARE

Read Mamlaka Lyrics by Nay Wa Mitego. The song has been well received in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina

Read Mamlaka Lyrics by Nay Wa Mitego below:

Na wengine wanaumwa 

Asante niko freshi 

Na wengine wamekufa kuna sababu 

Mi ya kuishi 

Umenipa nyota ya kupendwa na 

Watu sio rahisi 

Umefanya mitaa iseme nafaa 

Kuwa rais 

Umenipa sauti ya mamlaka 

Umenitoa hofu na mashaka 

Kila nnaposimama wanafyata

Naomba siku moja siku yako 

Ya mamlaka 

Naomba siku yako moja 

Niwe Rais wa nchi nzima 

Wananchi nawapa umeme ila 

Kwa viongozi nazima 

Sauti yako moja ya mamlaka 

Walimu sitawatupa 

Nawapa mishahara ya wabunge mambo 

Yao yawe supa 

Alafu sasa kazi ya ubunge itakuwa

Ni wito 

Wabunge watachukua mishahara ya 

Walimu yani simple 

Bungeni wataenda kwa bus walimu 

Wataendesha V8 

Na sitotaka mjadala maana haitakuwa 

Debate 

Kuna mbunge bila mwalimu Aaah wapi 

Kuna daktari bila mwalimu Aaaah wapi 

Kuna waziri bila mwalimu Aaah wapi 

Nauliza hivi kuna Rais bila mwalimu 

Siku yako moja tu Hakimu 

Atakuwa mfungwa 

Ili ajue uchungu wa kusingiziwa 

Na ukafungwa 

Washkaji zangu polisi nitawaongezea 

Vibunda ili msile rushwa kisa 

Mshahara wa kuungaunga 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Siku ya mamlaka 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe comfortable 

Siku ya mamlaka 

Kwenye hiyo siku kuna jambo 

Ukilifanya utanibeba wanawake 

Watafute kwa jasho 

Na wanaume waende leba 

Please usinipe uwezo wa kumgeuza 

Mwanadamu mbuzi maana 

Mbuzi watakuwa ni wengi 

Binadamu wana maudhi 

Siku yako moja ya mamlaka tajiri 

Awe maskini 

Maskini awe tajiri yani Simba 

Atamkumbuka mwenye njaa 

We niamini 

Nachotaka waheshimiane kati 

Ya wajuu na chini 

Aaaah naomba siku yako moja 

Viongozi waishi maisha ya 

Wapiga kura na wapiga kura 

Waishi maisha ya viongozi

Nataka waone maskini wanatesekaje 

Na ahadi zao za uongo wanazotoa zinaumaje 

Skiza baba usinichoke mwanao 

Siku moja ya mamlaka japo nna 

Mambo kibao 

Ccm wawe Chadema

Chadema wawe CCM 

Wapo wataojifunza kitu 

Na kuwa na ubinadam

Alafu Nay Wa Mitego wawe BASATA 

BASATA wawe Wa Mitego 

Na wakitoboa nafa 

Naomba baba mkuu nipe siku moja tu 

Niwapokonye wenye magari 

Niwape watembea kwa miguu 

Je kuna maisha bila siasa 

Aaaaah wapi 

Tuseme maisha sio siasa 

Aaaaah wapi 

Vipi Simba bila Yanga 

Aaaah wapi 

Aaah mgonjwa bila mganga 

Aaaah wapi 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Siku ya mamlaka 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Iwe iwe iwe iwe Iwe iwe iwe iwe 

Siku ya mamlaka 

Related

ADVERTISEMENT