LYRICS | Mama Lyrics By Otile Brown

SHARE

LYRICS | Mama Lyrics By Otile Brown

Read the official lyrics to Mama By Otile Brown. Mama is a song that Otile Brown sings to her late mom as he regrets not spending a lot of time with her mom when she was alive and it is through this song that Otile confesses how important her mother was in her life.

Mama Lyrics By Otile Brown

READ ALSO: Read Naogopa Lyrics By Marioo Featuring Harmonize

Read, sing aloud and enjoy the official lyrics to Mama By Otile Brown:

VERSE 1

Sema mami natamani anga mara moja uamke nikuone
Sikuwahi kukuambia nakupenda kabla uondoke

Hot stories

Na ina ichoma moyo wangu
Inaikwaza nafsi yangu
Mana sikupata mda mama yangu
Ya kuomba msamaha wa kosa langu


Sometimes najifungia chumbani mwenyewe
Najiliza kama mtoto
Je unajivunia mimi kua mwanako wewe
Kwenye hii dunia yenye changamoto
Tena bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi

CHORUS

I miss you yani leo zaidi ya jana hasa siku kama hii

I miss you nimejifunza mengi sana toka uniage mama

VERSE 2

Mapenzi mwenyewe mama yako Mungu akue radhi daima

Kipenzi changing cha moyo cha kukulipa sina

Shukrani kwanza kwa kunileta hii dunia

Ungeweza kuitoa mimba yangu Ila ukachagua niishi mama

Ninakuonaga unavyojinyima nipate hizo shida nazishuhudia

Nasijawai kujutia kua mwanao mama

Ahh mama nataka ujue nashukuru

CHORUS

I love you
Yani leo zaidi ya jana
I love you mama
Na najitahidi sana nikupendeze mama yangu

Na bado nazingatia mafunzo yako
Busara keshima na upole
Ingawa binadamu kazi

Related