Read 'Love Song' Lyrics By Marioo Ft Ali Kiba
Read Love Song Lyrics By Marioo Ft Ali Kiba. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Sumu Lyrics By Ali Kiba Featuring Marioo
Read Love Song Lyrics By Marioo Ft Ali Kiba Below:
Yeah Oooh
Yooooh
Mmmh
Hot stories
Ah nipende sana mi nataka wale
Walosema kwamba utaniacha wanune
Tupendane yani mpaka wale
Walosubiri tuachane wachunde
Acha wakae vikao wamalize waganga
Yanawashinda ya kwao waone kama waganga
Waone kama waganga hao hao
Hatuli hatulai kwao
Unawaponza uganga aaaah
Huoni hata sura zao mbayaa aaah
Wananitaka mi siwataki
Nakutaka wewe tu
Wakonifuata nakimbia
Nakufuata wewe tu
Asawe ukitaka mi nilie
Amua wewe tu
Ama nitoke hadharani niseme
I I love you
Aaaah Aaaah
Nakukunda jete teamo tequeiro
Ya Skreta Qui
Honey nakupenda
Aaaah kila siku nakuona mpya
Aaah kila siku nikikuona
Nakuona we mzuri wewe
Aaah ila mara yako wewe naona taa taa
Hapa bado namuomba Mungu
Wa mwisho ni wewe
Wananitaka mi siwataki
Nakutaka wewe eeh
Wakinifuata nakimbia mbio
Nakufata wewe tu
Hata ukitaka mi nilie
Utaamua wewe tu
Hata ukitaka nitoke hadharani
Nitangaze kwamba
I love you I love you
I love you I love you