SHARE

Lini Lyrics by Appy

SHARE

Read and sing aloud Lini Lyrics by Tanzanian singer, Appy. The song marks Appy's first release in the year 2024

READ ALSO: Read 'Mshindi' Lyrics by Appy

Read and sing aloud Lini Lyrics by Appy below:

Baby Aaaah Niko serious

Kwako sifeki wala si act 

Niko serious Baby Aaah 

Au mapenzi basi 

Niinusuru nafsi yeah 

Nakulea kama mzazi 

Kwako kijakazi wAewe hujali 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah 

Sawa nikuvumilie ndoa za watu nihudhurie 

Bado wajipanga ni kazi bure 

Unapiga magoti hunivishi pete 

Wala hu-propose yeah 

Amaaa ka moyo kangu kupe

Kanag’ang’ana kupenda nisikopendwa 

Sa nawaza baadae ubadirike 

Usifadhirike weeh uuuh 

Nakulea kama mzazi 

Kwako kijakazi wewe hujali 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah 

I remember you told me 

I'm your one and only 

Toka nyakati zile pete haijawahi 

Ona kidole 

Nakulea kama mzazi 

Kwako kijakazi wewe hujali 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah yeah 

Lini utanioaaaah yeah 

Related

ADVERTISEMENT