Read 'Mshindi' Lyrics by Appy
Read and sing aloud Mshindi Lyrics by Appy. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.
READ ALSO: Read Watu Feki Lyrics By Appy
Read 'Mshindi' Lyrics by Appy below:
Ya kwetu mvua La kwetu jua
Na tukaamini tutatusua
Kwetu sio wa kishua
Shida twazijua
Maana maisha yetu
Ya kuungaunga
Mlo mmoja mchana usiku
Shida ndo zimetulea
Oooh tukajikongoja
Mchana usiku
Tukaishi kwa mazoea
Maisha yanavuruga
Shida za kila muda
Mpaka marafiki wakageuka Yuda
Tumelelewa na mitaaa
Tuna ndugu na shida zimetufanya
Tuwe masugu tushatembea sana
Kwa miguu sasa ni zamu yetu
Kuwa juu
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Tushazika wazazi dunia
Ikawa ndo mlezi
Tukateswa na maisha
Yani hakuna mtetezi
Kwetu sukuma wiki
Ni sukuma mwezi
Na mapambano ya dhiki
Tukamuachia mwenyezi
From zero to hero
Nobody to somebody
No mummy no daddy
But am struggling
Maisha yanavuruga
Shida za kila muda
Mpaka marafiki wakageuka Yuda
Tumelelewa na mitaaa
Tuna ndugu na shida zimetufanya
Tuwe masugu tushatembea sana
Kwa miguu sasa ni zamu yetu
Kuwa juu
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona
Waona nini ukiniona
Watizama mshindi ukiniona