SHARE

Read Watu Feki Lyrics By Appy

SHARE

Read And Sing Aloud Watu Feki Lyrics By Appy. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Jojina Lyrics By Bruce Africa

Read Watu Feki Lyrics By Appy Below:

Siku mbili sijalala sijakula 

Nina stress stress 

Nyumba imegeuka chumba 

Cha dharura Emergency

Sioni marafiki ama mashosti 

Au mnasubiri nife ndo mniposti 

Bora nitafute pesa 

Ndugu wa kweli mafanikio 

Watu feki 

Sitaki marafiki siwataki ng’o 

Sitaki wanafiki 

Sitaki watu feki 

Waambie walionicheat 

Wakaniumiza roho 

Sitaki wanafiki 

Sitaki watu feki 

Sijui ninyamaze ama 

Niseme wanicheke 

Ama nijikaze 

Nilie ninyamaze 

Nijiliwaze 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Watu feki wasioridhika 

Nilishazika nikasafirisha 

Waru Feki Watu Feki 

Leo wanakupandisha 

Kesho ndio watakushusha 

Watu Feki watu feki 

Utakufa na njaa msibani watapika pilau 

Ukishika chapaa 

Utacheka na wanaokudharau 

Mmmh 

Bora wali nyama kuliko walimwengu 

Wakikosa sufuria watakupiga majungu 

Ukweli unauma ukweli ni mchungu 

Yeah Yeah Yeah 

Sitaki marafiki siwataki ng’o 

Sitaki wanafiki 

Sitaki watu feki 

Waambie walionicheat 

Wakaniumiza roho 

Sitaki wanafiki 

Sitaki watu feki 

Sijui ninyamaze ama 

Niseme wanicheke 

Ama nijikaze 

Nilie ninyamaze 

Nijiliwaze 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Lah Lah Lah 

Related

ADVERTISEMENT