SHARE

Read 'Katunge' Lyrics by Vijana Barubaru

SHARE

Read Katunge Lyrics by Vijana Barubaru. The song has been well received in Kenya and East Africa in general.

READ ALSO: Read Uko Happy Lyrics By Vijana Barubaru (V-BE)

Read 'Katunge' Lyrics by Vijana Barubaru Below:

Harambee tulikufanyia 

Upate degree 

Ng’ombe wangu nikamuuza 

Upate fare ya kwenda jiji 

Mate wazee wakakutemea 

Kukubariki 

Tulikesha tukikuombea 

Mungu wetu akakutendea 

Asya kyama 

Mtoto wetu uliniwachia 

Akiwa three 

Simu ashajua kutumia 

Anapiga hupatikani 

Nimepatwa na habari 

Umetekwa huko Nyari 

Nooo 

Is it a real thing 

Mi siko fiti 

I’m crying over you 

Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Wiku wiku ku ku 

Wiku wiku 

We 

Wiku wiku ku ku 

We uko wapi ku ku 

Wapi huko 

We uko wapi ku ku

Nilitaka udance a yard 

Before we dance abroad

Nikipata za mjengo

Nisare lunch ubuy credo 

On my black mamba 

Hii kijiji walijua you are

My number one 

You are my number one 

Uwerevu wa vitabu 

Nilitaka upale

Ndio tubalance mahesabu ya 

Mahindi kwa market 

Niliambiwa na my grand mama 

Fimbo nisieke mbali ulimi 

Wa nyoka ni mtamu 

Big blander 

Moyoni mwangu nabelieve 

We deserve a big wedding bado 

Your favorite farmer 

Nakusavia madoo 

I miss tukikulia maembe kwa ndoo

Vitu mbo vimehappen 

Syoka ngunenge uvooo 

After you left the crops died 

The river dried 

Ukame mafuriko thats my tag line 

Intuition inaniambia umenisideline 

Intuition inaniambia umenisideline 

 Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Katunge wakwa we 

Waendie ku 

Wiku wiku ku ku 

Wiku wiku 

We 

Wiku wiku ku ku 

We uko wapi ku ku 

Wapi huko 

We uko wapi ku ku

Related

ADVERTISEMENT