SHARE

Fundi Lyrics by Kusah

SHARE

Kusah Lyrics

Read and enjoy Fundi Lyrics by Kusah. The song marks another time Kusah has scored a hit song in East Africa.

READ ALSO: Read 'Wa Sasa' Lyrics by Kusah

Read Fundi Lyrics by Kusah below:

Na tena nimependwa tena
Na tena nimependwa tena

We tabibu we lazizi we
Unanifanya mi sioni kando kando
Na taratibu we usipande ngazi we
Itakuwa ni hatari kweli kweli
The way you do me you do me
Hadi nasema okay
Michezo ya ngumi ya ngumi
Kwetu hakuna okay
Baby wahuni wahuni wapo kama wote
Mi michezo ya ngumi ya ngumi
Mi sitaki okay
Mmmmh Mmmh

Mi ni fundi wa mapenzi
Kuliko unavyojua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua

Na nnavyojua kuenzi majirani watajua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua
Wewe

Na tena nimependwa tena
Na tena nimependa tena
Na tena nimependwa tena
Na tena nimependa tena

Nifumbe macho nikuone wewe
Ushike moyo na upone wewe
Waambie kwamba daktari wangu ni wewe
Unanipa tiba
Mi mwenzenu mapenzi
Niliyavuliaga nguo ndo maana
Nikipata mpenzi
Namganda kama hakuna

Mi ni fundi wa mapenzi
Kuliko unavyojua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua

Na nnavyojua kuenzi majirani watajua
Nitakupatia mapenzi
Hadi utashindwa kupumua
Wewe

Na tena nimependwa tena
Na tena nimependa tena
Na tena nimependwa tena
Na tena nimependa tena

Find Lyrics of Songs here, and get updates on Twitter and Facebook.

Related

ADVERTISEMENT