Read Tamba Lyrics By Barnaba Classic Featuring Kusah
Read, sing aloud and enjoy Tamba Lyrics By Barnaba Classic Featuring Kusah. The song is found in Barnaba Classic's recently released album "Love Sounds Different"
READ ALSO: Read Only You Lyrics By Barnaba Classic Featuring Jay Melody
Read, sing aloud and enjoy Tamba Lyrics By Barnaba Classic Featuring Kusah Below:
CHORUS
Nikupe nini waubani (tamba) nakuona mpya si wa zamani (tamba) au nikubandike bangoni (tamba) au nitangazege (hadharani)
Hizo zima shida zetu baby (tamba) acha wayauze magazeti baby (tamba) nipende nipeti peti baby (tamba) waseme wakuchoka watalala
VERSE 1
Oooh baby penzi upepo wa bahari penzi letu linapepea nananaa
Wambea wakae mbali hiki kimbunga watapotea
Ukweli ni kwamba mapenzi unayonipa nahisi dunia yangu,
Utadhani nimechanja ninavyomwaika sio akili zangu.
Akili ya mapenzi ikaunda tenzi tenzi, nimekuwa mjinga kwenye penzi lako sijiwezi
Upofu wa mapenzi kwingine sioni mpenzi, najifunga kauli kwenye penzi lako sijiwezi
CHORUS
Nikupe nini waubani (tamba) nakuona mpya si wa zamani (tamba) au nikubandike bangoni (tamba) au nitangazege (hadharani)
Hizo zima shida zetu baby (tamba) acha wayauze magazeti baby (tamba) nipende nipeti peti baby (tamba) waseme wakichoka watalala
VERSE 2
Penzi letu njiapanda hawatuwezi propaganda acha tuvune tulipanda Mmmh darling
Nawahi nyumbani kukesha nawe ukiwaga mbali presha my way kama ni mzizi shina ndo wewe watuache mpenzi
Ongeza madoido baby sasa ndumba za nini ushaniroga chumbani waja wana maneno acha watwange maneno sikuachi
Nimenasa zizini buchani kelele za nini waja wana maneno acha watwange maneno, sikuachi Aaaaha