Read Yamenishika Remix Lyrics by Nandy & Mocco Genius
Read Yamenishika Remix Lyrics by Nandy & Mocco Genius. The song has been well-received by fans in Tanzania.
READ ALSO: Read Raha Lyrics By Nandy
Read Yamenishika Remix Lyrics by Nandy & Mocco Genius below:
Mojaah LG the African Princess
Haaaah hayaaah yamenishika
Haaah hayaaaah
Nahisi dalili nimenenepa mwili
Hata ngozi yangu inanawili
Wewe ndo kipenzi changu
Kipenzi changu
Alonipa Mungu
Alonipa Mungu
Furaha yangu nanena peke yangu
Baby natamani nifungue moyo uone
Ilivyo ndani Iiiiiih
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mmmmh
Because I love you
Baby I love you too much ooooh
Too much oooooh
I know you lovr me too much oooh
Tooo much Oooh
Haaaah hayaaah yamenishika
Haaah hayaaaah yamenishika
Kama jenereta moyo wangu unadunda
Unantweta mwenzako naogopa
Naogopa
Mi naseleleka seleleka
Yani kwenye tope naseleleka seleleka
Jamvi na mkeka kwako nimeuweka
Baby natamani nifungue moyo uone
Ilivyo ndani Iiiiiih
Kama ni thamani mfano wako ufanane
Na kitu gani mmmmh
Because I love you
Baby I love you too much ooooh
Too much oooooh
I know you lovr me too much oooh
Tooo much Oooh
Haaaah hayaaah yamenishika
Haaah hayaaaah yamenishika
Haaaah hayaaah yamenishika
Haaah hayaaaah yamenishika
Yamenishika mahabaaah
Mahabaah mahabaaa
Yamenishika mahaba
Haaaaa haaayah yamenishika
Mahaba mahaba mahaba