SHARE

Read Ya "Ramadan" Lyrics By Lavalava & Ricardo Momo

SHARE

Read Ya Ramadan Lyrics By Lavalava & Ricardo Momo. The song is special for the month of Ramadhan and has been well received.

READ ALSO: Desh Desh Lyrics By Lavalava | READ

Read Ya Ramadan Lyrics By Lavalava & Ricardo Momo Below:

Aaaaaah

Ya ramadan

Ya ramadan

Ya ramadan

Ya ramadan

Ya ramadan mwezi ulio mwema

Ya ramadan huja kwa watu wema

Ya ramadan tujitahid tenda mema

Ya ramadan tuzivune neema

Ya ramadan

Ya ramadan

Ya ramadan

Ya ramadan

Ndugu zangu katika imani

Imekuwa bahati kubwa sana kwetu

Kwa kuona tena mwezi mtukufu wa ramadan

Ni mwezi unakuja mara moja kwa mwaka

Ni mwezi uliojaliwa nyingi neema

Basi tuitumie ipasavyo nafasi hii

Nafasi itakayotufanya kuwa bora siku ya malipo nafasi itakayo

Tusogeza mbele milango ya pepo maana halisi ya kuja mwezi mtukufu wa

Ramadan ni lengo moja tu kutufanya tuwe wacha mungu tuutumie vyema

Mwezi huu ili uwe wenye kuleta mabadiliko makubwa katika

Nafsi zetu ziwe zenye kumpendeza mwenyezi mungu ramadan mubaraka

Tujiunge waumini mwazini akiadhini

Tuende misikitini ayaaaa

Tuwalishe masikini

Wagonjwa mahospitalini

Ndo inavyosema dini

Na tuziswali swala tano

Swala tu swalaa

Na tuziswali swala tano

Swalaa tu swalaaa tuziswali tano

Ya Ramadan - Lavalava & Ricardo Momo

Related

ADVERTISEMENT