Read Wewe Lyrics by Kontawa
Read and sing aloud Wewe Lyrics by Kontawa. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read 'Mwalimu' Lyrics By Kontawa
Read Wewe Lyrics by Kontawa below:
Ni kweli pesa sina
Nacheza michezo ya bahati nasibu
Nami nakomaaa Aaaaah
Nishike vipesa kama kina Nasibu
Madubu ya wachina
Yanamaliza vichenji kila nikijaribu
Hivi leo ntakula kweli
Namuuliza mwanangu Ibrahimu Ajibu
Kuna wanangu wavuvi
Baharini wanavua fish
Ila wakipata kidogo
Mtaani wanavua pisi
Af kuna huyo fundi ujenzi babu magege
Yeye kutwa anabeba zege
Ila ukimwambia njoo kuna mabebe
Anakuja na fuko la chips zege
Ni kweli walichonacho hatuna
Na bado tuko geto tuna-hustle
Midomo tumepewa kutafuna
Kwanini tuishie kula kwa macho
Mwendo wa kukesha nao
Kama popopoooo
Tukijichanganya na watoto
Tunasahau shida na changamoto
Ni mwendo wa mitungi na misokoto
Wewe weee Wewe weee
Wewe weee Wewe weee
Yaani party after party
Wewe weee Wewe weee
Wewe weee Wewe weee
Yaani party after party
Mwanangu fundi garage
Anatembea na spana
Badala akaze nati
Akiona mademu anawaza kukazana
Wanangu wachina na bodaboda
Wachimba madini na wabeba poda
Wazee wa kuzamia wakuvuka boda
Kwenye kutumia hatunaga uoga
Ukitupa ushauri na saa
Tunachukua saa kutafuta shida
Kutumia raha
Asiependa amani anapebda pisi baba
Yaani nyumba inapaa ndege inapaa
Ni kweli walichonacho hatuna
Na bado tuko geto tuna-hustle
Midomo tumepewa kutafuna
Kwanini tuishie kula kwa macho
Mwendo wa kukesha nao
Kama popopoooo
Tukijichanganya na watoto
Tunasahau shida na changamoto
Ni mwendo wa mitungi na misokoto
Wewe weee Wewe weee
Wewe weee Wewe weee
Yaani party after party
Wewe weee Wewe weee
Wewe weee Wewe weee
Yaani party after party