Watangoja Sana Lyrics by Vijana Barubaru
Vijana Barubaru Lyrics
Get ready to groove to the lyrics of Watangoja Sana in this electrifying track by Vijana Barubaru. With their infectious rhythms and vibrant storytelling, Vijana Barubaru have created a musical experience that's bound to get you on your feet.
Vijana Barubaru - Watangoja Sana Lyrics
Priceless vile yuko priceless
Hot stories
I wanna bask in her brightness
Anaglow Oooooh
Mnamteka na doooh
Mi namteka na roho
Niceness tunafanana she is
My likeness
Mawazo ananipunguzia akona
Lightness Oooooh
Siezi keep calm
Ashanonjesha utam
So sinyamazi sochezi chini ya maji
Leo naweka wazo
Mi ni rahisi wako
You are my maji kwenye kiangazi
Mbuzi be my nazi
Mi ni rahisi wako
Wanangoja mtandaoni waone
Tumewachana
Watangoja sana watangoja sana
Wanangoja mlangoni vita
Tumegombana watangoja sana
Watangoja sana
Aaaah unanidundisha moyo
Dudu
Did you know unanitepesha
Dudu
Gangsta bandita kwako
Najiwachilia
Hapo zamani ndo ulifanya
Niende kookoo
If you ever need saving najigeuza benki
Niko ready kubleed iwe
Damu ama senti
Ka unarun with me hiyo ni
Ratified dating
Kila sekunde na wewe ni prime time
Saa naweka tick tick
Usichafue moyo chafua shati
Na lipstick Mwaaah
Wakisha moto na matchstick
Waaaaah
Penzi ni changa kotini kwetu kitanda
We ukishuka mi na panda
Kifuli tuta buy tufike
Lubavi Serbia
Nimekupata ubavu wangu
Umenikamilisha
Wambea usiwapw nafasi ya
Kukukasirisha
Kwao kutuongelelea
Ndio kujilisha
Wanangoja mtandaoni waone
Tumewachana
Watangoja sana watangoja sana
Wanangoja mlangoni vita
Tumegombana watangoja sana
Watangoja sana
Unanidundisha moyo
Dudu
Did you know unanitepesha
Dudu
Gangsta bandita kwako
Najiwachilia
Priceless vile yuko priceless
I wanna bask in her brightness
Anaglow Oooooh
Mnamteka na doooh
Mi namteka na roho
Wanangoja mtandaoni waone
Tumewachana
Watangoja sana watangoja sana
Wanangoja mlangoni vita
Tumegombana watangoja sana
Watangoja sana
Explore Other Music Lyrics Here