Wanawake Moto Lyrics by Samia Queens
Read and sing aloud Wanawake Moto Lyrics by Samia Queens. The song has been well received by fans in Tanzania and East Africa.
READ ALSO: Nimezama Lyrics by D Voice featuring Zuchu
Read Wanawake Moto Lyrics by Samia Queens below:
Hatuna haja ya kujigamba sana
Sifa zetu zinajulikana
Hot stories
Kazi mpe mwanamke ataifanya
Kwake hakuna la kushindikana
Asubuhi na mapema ngao ninaumua
Jua linanichoma nikaange vitumbua
Usikonde haina unyonge
Moyo upige konde pambana upate tonge
Huu sio muda wa wanawake kugombana
Huu sio muda wa wanawake kulumbana
Ukimuona mama jua upo salama
Mama ni mama, huyo ni mama huyo
Tulinyonya kwa mama akatutunza vyema
Jamani mama mama huyo
Hii dunia bila sisi haiwezi kunoga
Na sio salama
Yani dunia bila sisi
Haiwezi kunogo na sio salama
Moto moto Moto moto
Moto moto Moto moto
Moto moto Moto moto