Read Vimodo Lyrics By Mkwawa Ft Roma Mkatoliki
Read Vimodo Lyrics By Mkwawa Ft Roma Mkatoliki. The song has been well received by fans in Tanzania and beyond
READ ALSO: Read Nipeni Maua Yangu Lyrics By Roma Mkatoliki Ft Abiudi
Read Vimodo Lyrics By Mkwawa Ft Roma Mkatoliki Below:
Watu wanapenda vimodo
Vimodo vimodo vimodo
Nyama flani sio nyingi
Hot stories
Vimodo vimodo vimodo
Kishepu flani cha kimiss
Vimodo vimodo vimodo
Umbo Flavian Matata
Vimodo vimodo vimodo
Shepu flani kama la Zuchu
Vimodo vimodo vimodo
Ati avae nini asipendezr na
Usiombe macho ayalegeze
Anavyoringa anapendwa adekezwe
Yaani fundi mahaba usiulize
Ukimbeba anabebeka anabebeka
Mi napendaga vile anadeka anavyodeka
Ka mwendo kama anadondoka anadondoka
Nyama ipo karibu na mfupa yaani tamu
Watu wanapenda vimodo
Vimodo vimodo vimodo
Nyama flani sio nyingi
Vimodo vimodo vimodo
Kishepu flani cha kimiss
Vimodo vimodo vimodo
Umbo Flavian Matata
Vimodo vimodo vimodo
Shepu flani kama la Zuchu
Vimodo vimodo vimodo
Ka mwili kake kipotapo ni mifupa tu
Kitandani tukikaaga anajitupa juu
Namwita honey adoado aniita boo
Kifuani kimodo kanichora tattoo
Ana shepu ka Dayna mpole ka Nyange
Sura ka Zayna kifua ka Mange
Yuko sex acha atambe sio kesi
Hata mchambe ni mwepesi kamshange
Nikibless tu pambe
Kiuno chembamba na nikijaza shanga
Juu ya kitanda usiombe akipiga msamba
Yani hana mbambamba
Ndio maana anatamba
Mi ni soja ila kwake
Nimevua magwanda
Watu wanapenda vimodo
Vimodo vimodo vimodo
Nyama flani sio nyingi
Vimodo vimodo vimodo
Kishepu flani cha kimiss
Vimodo vimodo vimodo
Umbo Flavian Matata
Vimodo vimodo vimodo
Shepu flani kama la Zuchu
Vimodo vimodo vimodo