Read 'Umeniitika' Lyrics By Martha Mwaipaja
Read Umeniitika Lyrics By Martha Mwaipaja. The song is well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Read Unasema Nini Lyrics By Martha Mwaipaja
Read Umeniitika Lyrics By Martha Mwaipaja Below:
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Hot stories
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Nilivyo umenitafuta
Ni wewe uliyeniheshimisha
Ni wewe bwana umenipenda
Ni wewe mtawala wa wote
Ni wewe mpenzi wa wote
Ni wewe ni wewe
Ukijibu ni wewe
Dunia inatambua
Ni wewe ni wewe
Umejivika heshima
Dunia yajua
Ni wewe hupingwi na yeyote
Ni wewe enzi yako imetukuka
Ni wewe ninayekuabudu
Ni wewe ninayekuheshimu
Ni wewe Baba
Ni wewe umenikubali (Umenikubali Mimi)
Ni wewe umeniitika (Ni wewe mwokozi)
Ni wewe umenikubali (Umeniitika Mwanao Baba)
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali (Umenikubali Nilivyo)
Ni wewe umeniitika (Haujanikataa)
Ni wewe umenikubali (Umenipenda Zaidi Ya Vitu)
Ni wewe umeniitika
Ni wewe utatawala kote
Ni wewe muhukumu wa wote
Ni wewe dunia yakujua
Ni wewe wa kuinuliwa
Dunia inakuinamia
Dunia inakuabudu
Ni wewe hupingwi na yeyote
Ni wewe bwana unajitegemea
Hata nikimyamaza utabaki kuitwa Mungu
Vizazi na vizazi
Acha niiname mbele zako
Wewe ni Mungu wa kila mmoja
Acha mimi nikuabudu tu
Maana ni wewe wa kuinuliwa
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika
Ni wewe umenikubali
Ni wewe umeniitika