SHARE

Read 'Uko Single' Lyrics by Rayvanny

SHARE

Read and sing aloud Uko Single Lyrics by Rayvanny. The song is well-received by fans in Tanzania and beyond

READ ALSO: Read Yaya Lyrics By Rayvanny Ft Diamond Platnumz & Jux

Read Uko Single Lyrics by Rayvanny below:

Wambea andaeni bando 

Fungeni mitambo 

Na maex mkae kando 

Mungu amenipa pambo 

Mwanamke hana kasoro 

Ukimpendaaa mwanamke 

Hanaga mapungufu ukimpendaa 

Hilo kamwe ataficha na wigi Eeeh 

Umbo si lazima kuzidi Eeeh 

Hiyo rangi amerithi kwa bibi 

Kwanini ajichubue 

Mbaya kwenu kwangu 

Ni uwaridi Eeeh 

Hata kama sauti Zumaridi Eeeh 

Nimeoa mimi wala sio kijiji 

Kwa hiyo msinisumbue

Eti mbona hana shepu 

Ni wako embu acha shobo

Mbona havutii 

Ni wako nasema acha shobo

Ona ni mfupi 

Ni wako embu acha shobo

Eti mbona ni mbaya 

Ni wako nasema acha shobo

Upo single ? Nishampata wangu 

Yuko wapi 

Huoni mzuri twaendana 

Upo single ? Nishampata wangu 

Yuko wapi 

Huoni mzuri twaendana 

Nna furaha siku hizi nacheka sana

Hata shavu limetoka nimejipata 

Majeraha mambo ya kunyanyasana 

Ngozi ilikongoroka sasa nimetakata 

Napewa mahanjumati maziwa fresh 

Nisipokula matunda napewa kesi

Anavyonijali utasema nesi 

Aaah shemeji yenu kiboko 

Usiku nalazwa mapema sina stress 

Naamshwa na vibunda ma-cash cash 

Poleni maex ex kina desh desh 

Aaah shemeji yenu kiboko 

Ona make up kwa sura 

Weee nani kasema hajapendeza

Nguo zimenyooka ka ruler 

Weee nani kasema hajapendeza

Nywele mtindo koma Ashura 

Weee nani kasema hajapendeza

Basi geuka kidogo ka chura 

Weee nani kasema hajapendeza

 Upo single ? Nishampata wangu 

Yuko wapi 

Huoni mzuri twaendana 

Upo single ? Nishampata wangu 

Yuko wapi 

Huoni mzuri twaendana 

Related

ADVERTISEMENT