Read 'Tupeni Chetu' Lyrics By Roma Mkatoliki
SHARE
Read Tupeni Chetu Lyrics By Roma Mkatoliki. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO; Read Nipeni Maua Yangu Lyrics By Roma Mkatoliki Ft Abiudi
Read 'Tupeni Chetu' Lyrics By Roma Mkatoliki Below:
Kama mmeuza bandari yetu
Mseme tuelewe
Hata kidogo tupeni chetu
Nasi tulewe
Maana huku kwetu
Bado masikini
Wajukuu zetu watarithi nini
Kama mmeuza bandari yetu
Mseme tuelewe
Hata kidogo tupeni chetu
Nasi tulewe
Maana huku kwetu
Bado masikini
Wajukuu zetu watarithi nini