Tanzania Lyrics by Harmonize
Harmonize Lyrics
Read, sing aloud and follow along Tanzania Lyrics by Harmonize. The song is found in Muziki Wa Samia which is the third studio album from Harmonize.
READ ALSO: Disconnect Lyrics by Harmonize featuring Marioo
Read Tanzania Lyrics by Harmonize below:
Tanzania nchi yangu
Mama Samia Rais wangu
Hussein Mwinyi Rais Wangu
Amani upendo ndio ngao yangu
Hot stories
Tanzania nchi yangu
Mama Samia Rais wangu
Hussein Mwinyi Rais Wangu
Amani upendo ndio ngao yangu
Bara na visiwani eeeh
Mambo ni sawa oooh
Shetani alaniwe asije tugawa
Tumuenzi Nyerere Abeid Amani Karume
Wapiga kelele acha roho ziwaume
Naipenda Tanzania Eeeh Mmmh Oooh
Hasa hasa ya Samia Eeeh Eeeh Oooh
Naipenda Tanzania Eeh
Tanzania ya Samia Oooh
Mungu Ibariki Baba
Amen Amen Amen
Tanzania nchi yangu
Mama Samia Rais wangu
Hussein Mwinyi Rais Wangu
Amani upendo ndio ngao yangu
Ni furaha ni furaha kuzaliwa Tanzania
Ni furaha nina furaha ni furaha
Najivunia Tanzania ni furaha
Bara na visiwani eeeh
Mambo ni sawa oooh
Shetani alaniwe asije tugawa
Tumuenzi Nyerere Abeid Amani Karume
Wapiga kelele acha roho ziwaume
Naipenda Tanzania Eeeh Mmmh Oooh
Hasa hasa ya Samia Eeeh Eeeh Oooh
Naipenda Tanzania Eeh
Tanzania ya Samia Oooh
Mungu Ibariki Baba
Amen Amen Amen