Read Staki Lyrics By Femi One Featuring Domani Mkalimani
Read Staki Lyrics By Femi One. The well-executed rap song has been well-received in Kenya and East Africa in general.
READ ALSO: Read Jimwage Lyrics By Kusah Ft Femi One
Staki Lyrics By Femi One Below:
Yeah
Femi Uno
Haah, yoh!
Hot stories
Hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaeza dhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki, staki na staki (staki na
staki)
Staki na staki staki na staki staki na staki na staki na
staki
Staki na staki (staki na staki)
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki
(Man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire)
Staki na-, staki na
VERSE 1
Uh, ambia boy fisi simtaki, hio time akupee siko
ithaa
Maboy wanareverse kwa maparking, ye ni calls
kureverse kila saa
Femi One their mum their auntie, nliwashow hao
ma emcee nimewazaa
Nditni kwa mra' niko active, sina time ya kulink na mang'am
Mi staki-
Staki na staki drama na nuks, hunipati staki
mamoods
Kama si mali kama si ganji niko Jumanji, niko kwa
woods
Nigga ni tragic pedi wa nudes, imagine, hell of a
dude
Telegram chattin', hawker wa ngwati, broker wa dhambi simp wa maboobs
Ka staki staki, kwani ni lazma, mbona unaforce?
Mans alipigwa stopper DM akajam ka spread on
toast
I guess nilishrink his ego, left him on read and he
had some hopes
Clique ni savage, clique ni rong, hii clique ni clique
ni clique ni
Hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki, staki na staki (staki na
staki)
Staki na staki staki na staki staki na staki na staki na
staki
Staki na staki-
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki
(Man a bonefire, man a bonefire, man a bonefire)
VERSE 2
Hii clique ni ya wa bobo shanti, always skankin',
jobless party
Alivuta foreign na ulafi akacheki mwangaza kama
Kamlesh Pattni
Life ni walala, view ni ya branba, staki na staki blunt
umelamba, staki na-
At times ilibamba then akaanza feelings vibe
ikaishanga
Staki na staki, stamina energy, kama ni mbwakni,
staki na-
WhatsApp groups hunipati, I don't correlate na
umati, staki na-
Alibonga reckless mneti hata sikureact, zero
pressure sikuwangi na time
Time ya mambleina sipati, wallahi aki, mshow akae mbali na—
ATM limit ni maximum, mteja wa nambari hapatikan—
Wako roamin' ka padre wa Vatican, ngoma hazipop tunatambua ni pandisa
Clique ya mapagan, clique ya warazi, staki na staki kuinteract na madwanzi
Tuko maendeavor, mamradi, clique ya mapeng hii ni clique ya mabaddie
Hii clique ni ya wanati (skrr skrr), hunipati
Wallahi aki, unaezadhani ni Illuminati, wapi?
Staki na staki, staki na staki, staki na staki
Staki na staki staki na staki staki na staki na staki na staki
Staki na staki—
Staki na staki, hmm mmh, wapi?
Staki na staki, staki na staki