SHARE

Read Sikutambui Lyrics By Wakadinali

SHARE

Read And Sing Aloud Sikutambui Lyrics By Wakadinali. Theng has been well received by fans in Kenya and East Africa in general.

READ ALSO: Read McMca Lyrics By Wakadinali

Read Sikutambui Lyrics By Wakadinali Below:

For real

Mbona ni nyinyi nawawasha

Nikikula nyama choma tufirifiri na Tusker

Bro amejituma ako kazini anaisaka

But anajua bibi yake anafanya nini Naivasha?

Woi! Aki si Kenya kuna content

Nashindwa nidunge chain gani so nazidunga zote

Anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope

Si hubonga kilami tukitaka ganji itoke

Normally shembeteng, mamolly kwa Heineken

Mon Ami, you're my friend, we got rich in the ends

Tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun

Ka huamini tuko lose ulize **** aling'am

Si ni maburglar for sure na hii si siri

Balaclava huezi nijua kwa CCTV

Bro nikimwambia haskii na ye' si kiziwi

Ka si biz utanipata nimesare sikimbizi

Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii

Speed flani shwaa, boxer Kawasaki

Njege masanse hawatutaki

Ka hunitambui sikutambui

Wazing wako na whaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am, na una—

Wazing wako na whaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am, na una—

Bora na waks wathara

Ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara

After masjid masti ikilost

Easich wazing tunapiga baroda na kigwara

Tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost

Hizo mangoto 6 feet deep, deep ni vile alimarwa

Homeboyz hapana taka mchezo ati nahama

Tomboys bomboclaat bado unazimarwa

Baroda sare kindipi tukishoot hizo masaa

Minus warazi tunaaddingi ma ombre

Sitaki nеws joh mheshimiwa kuliendaje tеna jamaa?

Divide makazi zitimes-ingi to the jobless

What about QCCBs?

How about Gen Z how about that?

What about QCCBs?

How about Gen Z how about that? 

Kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii

Speed flani shwaa, boxer Kawasaki

Njege masanse hawatutaki

Ka hunitambui sikutambui

Wazing wako na whaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am, na una—

Wazing wako na whaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am

Na mawhaps ka unang'am, na una—

Yoh, tunadrip design tumekuwa maplumber

Tunabeef joh, sidhani ka mtaezana

Labda p-stock ama kofi ka ya Anan

Pigia Skillo tuchukue maskank ka za das

Mi ni pro kwa hii shit si ati najigas

Kuna bro amejipin kiaAP na ni kiwhap

Mwili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap

Tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps

Moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf

Tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew

Unang'am? Unang'am?

Uli-ulidai ati una kitu na—

Una makali na graph yetu inaimprove

Speed flani Kawasaki nikikam through

Kama lightning, tukijam ni kustrike tu

Kuthigitha warazi ndo kitu si hudo

Related

ADVERTISEMENT