SHARE

Read 'Shwari' Lyrics by Walter Chilambo

SHARE

Read and sing aloud Shwari Lyrics by Walter Chilambo. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Read Majina Yote Mazuri Lyrics By Dedo Dieumerci Ft Naomi Mugiraneza

Read Shwari Lyrics by Walter Chilambo below:

Maisha anayepanga Mungu

Ndiye anayejua Kesho yangu

Yawe matamu au machungu

Nikipata nikikosa nashukuru Mungu

Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika

Ndoto zangu zikazimika

Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka

Na Neema yake kunifunika

Leo yangu isiwe kama Jana

Naamini mambo yatabadilika Eeeh 

unitazame Bwana

Kesho yangu Ikajae furahaa

Aaahh

Kesho yangu ikajae Furaha

.

Mambooo … Shwari  

Yatakuwa shwari…..Shwari

Ooh Mambo….Shwari

Mungu anayaweka Shwari…..Shwari

Sina mashaka tena …..Shwari

Najua mambo yatakuwa shwari…..Shwari

Shwari kabisa yaani shwari…….Shwari

Siku yaja mambo yatakuwa….Shwari

Mambo yatanyooka aahhh

Nimezaliwa kupambana

Na sitokata tamaa

Haijalishi ni mangapi nimepitia

Yakaniumiza eeehh

Najua vita si ndogo vita si ndogo

Ila kwa Mungu hiyo vita ni ndogo

Bado kidogo Muda kidogo

Mungu ataniheshimisha

Bado kidogo

.

BRIDGE

Ndio maana bado sijachoka mi kuhangaika

Ndoto zangu zikazimika

Nazidi kuomba Mungu ashushe Baraka

Na Neema yake kunifunika

Leo yangu isiwe kama Jana

Naamini mambo yatabadilika EEEH

unitazame Bwana

Kesho yangu Ikajae furahaa

Aaahh

Kesho yangu ikajae Furaha

Mambooo … Shwari 

Yatakuwa shwari…..Shwari 

Ooh Mambo….Shwari 

Mungu anayaweka Shwari…..Shwari 

Sina mashaka tena …. Shwari 

Najua mambo yatakuwa shwari…..Shwari 

Shwari kabisa yaani shwari…….Shwari 

Siku yaja mambo yatakuwa….Shwari 

Mambo yatanyooka aahhh

Mambo yatanyooka aahhh

Related

ADVERTISEMENT