SHARE

Samia Tena Lyrics by Harmonize

SHARE

Harmonize Lyrics

Read and enjoy Samia Tena Lyrics by Harmonize. The song is a tribute to Tanzania's president Samia Suluhu Hassan.

READ ALSO: Tanzania Lyrics by Harmonize

Read Samia Tena Lyrics by Harmonize below:

Wakisema ananidekeza wajibu
Mtoto kwa mama hakui siku zote
Na wakisema najipendekeza
Waambie karibu uzuri hachagui
Ni mama yetu sote umseme kwa mazuri
Hata machafu nenda CHADEMA
Urudi CUF atabaki kuwa mama
Hakuna kama mama

Alopewa na Mungu
Hawezi nyang’anywa kwa rungu
Hata wakija na majungu
Na visenti vyao vya wazungu

Taifa lishasema ni Samia Tena
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia

Urais hakuomba wala hakufikiria
Ila tunaemuomba ndo katutunukia
Konde hata asiponiomba
Kura yangu nitampigia
Amekomesha kongomba
Mtwara kuchele tunashangilia

Mmmh maji kila kona bure
Watoto wanasoma bure
Natibiwa homa bure
Nani kama mama
Hakuna kama mama
Atabaki kuwa mama
Amerudisha ujamaa
Kama unakerekwa hama

Maana hakuna kama mama
Atabaki kuwa mama
Amerudisha ujamaa
Kama unakerekwa hama

Alopewa na Mungu
Hawezi nyang’anywa kwa rungu
Hata wakija na majungu
Na visenti vyao vya wazungu

Taifa lishasema ni Samia Tena
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia
Samia Tena Samia Tena
Samia Tena Suluhu Samia

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT