SHARE

Read Tena Lyrics By Harmonize

SHARE

Read Tena Lyrics By Harmonize. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read 'Dear X' Lyrics By Harmonize

Read Tena Lyrics By Harmonize Below:

Mmmmh Mmmmh 

Mmmmh 

Kwanza nimekua nimemature 

Mapenzi nayajua 

Nje ndani 

Ya walimwengu si unayajua

Badi tuombee dua

Mbona litakuwa 

Apangalo Maanani 

And i just wanna make you my beibe 

And marry you today 

Coz i love you everyday 

Forever and ever 

Uuuuuh 

Ndugu jamaa na marafiki wapo 

And I’m ready kula kiapo 

Siwezi tabasamu usipo nilipo 

My Boo 

Tena nishapenda 

Am In love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Eti mimi huyu huyu 

Wakupenda tena 

Nishapenda 

Am in love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Yeah in a life kuna kupanda 

Na kushuka 

Na kuteleza si kuanguka 

Ma X mtabaki kunikumbuka 

Maana raundi hii 

Sijakurupuka 

Nina uhakika 

Pili kwake nimefika 

Tatu ye ndo anayepika 

Mi napakua 

Yeah wapo wanaodhani umeniroga 

Ukinipa chakula unanipa na mboga 

Mahaba yanamiminika tunaoga 

Na baby Iiiiiih 

And i just wanna make you my beibe 

And marry you today 

Coz i love you everyday 

Forever and ever 

Uuuuuh 

Ndugu jamaa na marafiki wapo 

And I’m ready kula kiapo 

Siwezi tabasamu usipo nilipo 

My Boo 

Tena nishapenda 

Am In love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Eti mimi huyu huyu 

Wakupenda tena 

Nishapenda 

Am in love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Tena nishapenda 

Am In love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Eti mimi huyu huyu 

Wakupenda tena 

Nishapenda 

Am in love 

Nimependa tena 

Ndo nishapenda 

Related

ADVERTISEMENT