SHARE

Read Starehe Yako Lyrics By Nay Wa Mitego Ft Jux

SHARE

Read Starehe Yako Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Jux. The song has been well received in East Africa and beyond.

Jux Nay Wa Mitego

READ ALSO: Read Sherehe Lyrics By Nay Wa Mitego

Read Starehe Yako Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Jux Below:

Ayie, ayie baba
Ayie, ayie baba


Ha!

Unazaliwa mara moja na unakufa mara moja
Ata kuishi tunaishi mara moja
Sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja
Tofauti matamanio hapa ndo kwenye vihoja
Kila mtu na starehe yake bhana (ndo maana yake)

Starehe yangu mi mziki napenda na wanawake
Kuna wapenda tungi wazee wa gambee
Raha ya pombe ulewe hiyo ndo starehe
Wavuta bangi nae wanasema nayo ni starehe
Hawezi kula, hawezi lala mpaka avutee

Mwingine starehe yake yeye ni kupiga chabo tu
Mechi ucheze wewe ukapambane apige deo tu
Mi ni starehe yangu nami sipendi ya kwako
Kila mtu na starehe yake bwana wewe fanya ya kwako
Mi naona Fresh tu Yaan ni vibe
Maisha matamu ila mafupi we enjoy tu

Ayee..  ayee baba
Ayee..  ayee baba
Ayee..  ayee baba

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na viportable (na viportable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

Starehe ni nyingi na kila mtu ana yake
Usimwingilie mtu kwenye starehe yake
Hizi starehe zingine bwana we noma sana
Kuna wakina dada starehe yao kusagana

Amaeacha mwanamke ndani ameenda kupiga nyeto
Hiyo ndo starehe yake usije dhani ana mapepooo kwenye
Starehe ya mapenzi aki ya mungu tuko wengi
Ya kuzini motoni tutaenda wengi
Kila mtu na starehe yake bwana
Ndo maana yake

Anaejua utamu wake bwana
Ndo maana yake
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako
Hakuna noma vuta si ndo starehe yake

Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)
Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na viportable (na viportable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

Ataekupa furaha
Hiyo ndo yako starehe
Kitunze usikubali kipotee
Kama unapenda soccer
Endelea kustarehe
Hata ikifungwa
Timu yako itetee

Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)
Ayee.. ayee babaa (aye aye aye..)

Huwa sivai mavitu mingi mingi nataka kuwa comfortable (comfortable)
Na watoto sio tubig big napendaga na viportable (na viportable)

Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu, kila mtuu
Kila mtu na starehe yake
Kila mtuu kila mtuu

Related

ADVERTISEMENT