SHARE

Read Sherehe Lyrics By Nay Wa Mitego

SHARE

Read, sing aloud and enjoy Sherehe Lyrics By Nay Wa Mitego. The song has been well received by fans and has been critically acclaimed.

Sherehe Lyrics Nay Wa Mitego

Read and enjoy Sherehe Lyrics By Nay Wa Mitego Below:

CHORUS

Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe

Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe

Tusheherekee naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe

VERSE 1

Jamani pombe pombe hivi ililetwa na nani heee yaani tam tam mpaka kisogoni hee

Alogundua pombe moja kwa moja peponi, aende peponi, aende peponi

Kwanza nikishalewa inanikata aibu (aibu) alafu inanipaga vibe (vibe)

Hakuna swali linakosa jibu ule ugonjwa wa kingereza bhana pombe inatibu

Leo kamkesho kamnyweso mbona nasweti sana jamani nipe kaleso

Kama unanidai naomba tuonane kesho, hela nayotuma leo ni marejesho

BRIDGE

Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana

Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana

CHORUS

Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe

Natusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe

Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe

Tusheherekee, naacha pombe nalewa mara ya mwisho sitaki pombe

VERSE 2

Leo nakunywa mara ya mwisho kesho mi naokoka, tatizo kubwa nikilewa huwa naropoka

Na kama nna siri zako jua ushaumbuka nakua mwongo mwongo

Pombe inanifirisi pombe na ibilisi hapa nakuacha leo ile kesho tunakumis

Nikishalewa nakuwaga mzee wa fix naahidi ajira wakati sina hata ofisi

Hooo! Leo kalewa leo leo acha nilewe leo, hooo!

Leo kulewa leo leo mtanibeba leo!

BRIDGE

Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana

Tukishalewa si walevi tunapendana hata tukigombana pombe ikikata tunapatana

CHORUS

Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe

Leo ni sherehe sherehe naacha pombe nakunywa mara ya mwisho sitaki pombe

Related

ADVERTISEMENT