SHARE

Nije Ama Nisije Lyrics by Dulla Makabila

SHARE

Dulla Makabila Lyrics

Read and sing aloud Nije Ama Nisije Lyrics by Dulla Makabila. The song has been well-received by fans in Tanzania and beyond.

Dulla Makabila releases new singeli hit single Wakunizika

Nije Ama Nisije Lyrics by Dulla Makabila

aaah jamani nijeeee

nauliza nijeeeee

ama nisijeeeee

nitakuja muda ushafikaa ila nakuja kutesekaa

nimeshafikisha miezi tisaa ila mama kanitesaa2

jamani nijeeee ama nisijeeee

jamani nijeeee ooh ama nisijee

aaah naulizaa nijee ama nisijeeee

kwanza nakulaumu mamaaa sababu ujatuliaaa

ndo maana baba ulivyomwambia una mimba yake alikukataliaa

kumbe Shaban na juma nao mimba wanahudumiaa

basi baba kalegea unyonge kaona anabambikiwaa

Dunia nzima mama anatajwi Kwa mazui

maskini Mimi Mungu kanipa mama katiliii

mama Sina sababu ya kukupenda nakuchukiaaa

mama ulipojua una mimba ukataka kuniuaaaaa

mama unavaa vitait Hadi mi mwanao unanibanaaa

unajua tumbo likionekana utakosa mabwanaa

kweli umenibeba miezi tisaa lakin sikufagiliiii

hata nikizaliwa nikifanikiwa hata mia sikugaiiii

kiukweli sitakii sitakii Mimi kuja dunianiii

mama Hadi Kwa wachura unapanda

Hadii jukwaaniii unalewaa unavuta bangi huku

Niko tumbonii nikija kuwa kiongozi wa panya road

Utamlaumu naniiii

ndo maana naulizaaa nije ama nisijeeee

jamani nijeeee ooh ama nisijeeee

nishaurinii nije ama nisijee

duniani nijee ama nisijee

Read Other Latest Song Lyrics Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT