Nibusu Lyrics by Barnaba Ft Yammi
Read and sing aloud Nibusu Lyrics by Barnaba Classic featuring Yammi. The song is the second release from Barnaba in 2024.
READ ALSO: Read Nawaza Lyrics by Barnaba
Read Nibusu Lyrics by Barnaba Ft Yammi below:
How sweet inside
I be dropping when i get inside
Turning her upside down crazy looking
When i squeze inside
Sweet like my hot green tea
Mama you're looking sexy tonight
I been about her sweet ting ting
And she know that what i touch is mine
On her way to my place now
I've been looking wanna be inside
Cause you ain't ever felt all mine
Come over let me give you a ride
Let me show you bout that grip of mine
Take it off let me see you shine
Let me show you bout that grip of mine
Take it off let me see you shine
Oowoooh Oooh
Kwako nimezama penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina bila wewe
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu hadharani
Nami nikubusu hadharani
Mmmh nimumu hadharani
Nami nikuchumu mpenzu hadharani
Nimumu hadharani
Nami nikuchumu hadharani
Nibusu hadharani
Nami nikubusu hadharani
Habibi usingizi ndo kitu nakosa mpenzi
Na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali mpenzi
Nazidiwa aaah
Nusu kaputi nusu mgonjwa najifia beib
Na sindano yako ndo yanitosha kutibu yangu maradhi
Kama mende yuko chali
Penzi likikata na kisu kikali mtoto
Upepo wa bahari
Anitulizaga najikutaga mbali kiboko
Na ulivyo mtamu kama pipi
Sijui nikufananishe na nani
Ya kumung’unya kijiti
Kwa kuitaja mdomoni
Sweet like my hot green tea
Mama you're looking sexy tonight
I been about her sweet ting ting
And she know that what i touch is mine
Kwako nimezama penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina bila wewe
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu hadharani
Nami nikubusu hadharani
Mmmh nimumu hadharani
Nami nikuchumu mpenzu hadharani
Nimumu hadharani
Nami nikuchumu hadharani
Nibusu hadharani
Nami nikubusu hadharani