Nawaza Lyrics By Diamond Platnumz
Nawaza is track number 8 on Diamond Platnumz's recent EP named First Of All and here are the lyrics of Nawaza :
READ ALSO: Enjoy Mtasubiri Lyrics By Diamond Platnumz featuring Zuchu
Read aloud, Sing And Enjoy Nawaza Lyrics By Diamond Platnumz Below ;
INTRO
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
VERSE 1
Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena
Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema!?
Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema
Nashangaa
Nawaza Vanny na Elizabeth clip zao zikivuja
Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?!
Nawaza muchana,usiku jibu halifiki
Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?!
Nawaza kina Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike
Nlowaza leo nshawaza sana kina Kiba ugomvi kipi?!
Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki
CHORUS
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
Oooh nawaza
VERSE 2
Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai
Nawaza movie zetu pia tungejidai
Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?!
Nawaza,tatizo ni team au uongozi haufai
Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi
Je angekuepo Muzee Nyange,Uncle Shamte angepata nafasi?!
Nawaza ka ngekua na Wema Sepetu hadi leo sijui ngekua nshafulia au zaidi maendeleo
Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta
Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
Eeeh Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuoa kipi Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat
CHORUS Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
Nawaa...naaawaaa...naawaaa...nawaza tu
You Can Also Enjoy Nawaza Lyrics Video Here :