Read Mshua Lyrics By Nay Mitego Ft Linah
Read Mshua Lyrics By Nay Mitego Ft Linah. This marks another time that Nay Wa Mitego has thrilled fans with a rap song.
READ ALSO: Read Nakuja Lyrics By Nay Wa Mitego Featuring Phina
Read Mshua Lyrics By Nay Mitego Ft Linah Below:
Eeeh baba (baba baba)
Baba aaah aaah
Chiby
Kwenye familia wewe ndio kichwa
Na tuliona ulivyopambana
Lakini mimi na wadogo zangu bado
Tulisema nani kama mama
Kuna kipindi home ulilala saa tisa
Halafu unaamka asubuhi sana
Na bado vitu usipokamilisha hata viwe
Vidogo tunakupa lawama
tulizaliwa hakuna TV hakuna feni
Ama AC
Kwa jirani ndio kuna TV ukisema tuvumilie
Hatuingia ulikuwa na uwezo wa kukimbia
Ukatuacha Aaaaah
Ulikomaa nasi japo maisha yalikuchapa
Aaaah
Baba umenifundisha mtoto wa kiume
Hakimbii majukumu
Haukututelekeza japo maisha
Yalikuwa magumu
You are the best dad i swear
Kila goti nalopiga nakuombea
Asante Baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kuwa na bonge la dingi
Oooooh
Ni kweli hakuna kama mama
Lakini ulipambana ukabeba jukumu
La huyu mwamba
Utajua hakuna kama baba
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)
Kila zawadi nnayowaza kukupa haitoshi
Magari na manyumba havitoshi
Kwenye giza ulinimulika tochi
You are the best Dady
God Bless
Ili nisiwe mjinga ulinipeleka shule
(Ulinipeleka shule)
Ukalima ukabeba zege ili wanao tule
Ilipofika sikukuu ulihakikisha
Familia inapendeza mama anapendeza
Mimi napendeza
Kisha tunakunywa na kucheza
Siwezi lipa ulichowekeza
Asante Baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kuwa na bonge la dingi
Oooooh
Baba umenifundisha mtoto wa kiume
Hakimbii majukumu
Haukututelekeza japo maisha
Yalikuwa magumu
You are the best dad i swear
Kila goti nalopiga nakuombea
Asante Baba umenifunza mengi
Mpaka nimekua umeupiga mwingi
Najivunia kuwa na bonge la dingi
Oooooh
Ni kweli hakuna kama mama
Lakini ulipambana ukabeba jukumu
La huyu mwamba
Utajua hakuna kama baba
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)
Anaitwa Baba (baba ba)