Read Moyo Lyrics By Ommy Dimpoz
Read and sing aloud Moyo Lyrics By Ommy Dimpoz. The song has been well-received by fans in Tanzania and East Africa in general.
READ ALSO: Birthday Lyrics By Ommy Dimpoz | READ
Read and sing aloud Moyo Lyrics By Ommy Dimpoz Below:
Oooh lalalaa
Lelelele
Lololo
Sikia sikia aah sikia moyo
Jishike tabia
Tulia tulia wee tulia moyo
Jichunge tabia
Mi nilidhani kazi kusukuma damu
Sasa naona mauzauza mambo tofauti
Chakwangu kidogo huridhiki nacho
Unapenda vikubwa
Utaniponza moyo,moyo
Vitamu vinono kutolea macho
Utaniponza moyo
Wee moyo,moyo,moyo moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela
Sababu yako moyo,moyo,moyo
Na Wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa
Sababu yako moyo
Moyo wangu mie
Moyo
Punguza Tamaa
Moyo
Jifunze kuvumilia
Moyo
Utaniumiza
Moyo wangu mie
Moyo
Kuna kitu unatamaa
Moyo
Jifunze kutulia
Moyo
Unataka nipeleka wapi wooo wowo
Unataka kushindana na Dunia
Oooh na Dunia
Usifate ya mitandao kila mutu tajiri
Vingine fumbia macho
Usitazame muke wa mutu huyo
Ridhika ukipatacho
Tamaa zako zitaniponza moyo
Wengine umefanya wamepotelea jela
Sababu yako moyo,moyo,moyo
Na Wengine wameshindwa wakasaliti zao ndoa
Sababu yako moyo
Moyo wangu mie
Moyo
Punguza Tamaa
Moyo
Jifunze kuvumilia
Moyo
Utaniumiza
Moyo wangu mie
Moyo
Kuna kitu unatamaa
Moyo
Jifunze kutulia
Moyo
Unataka nipeleka wapi wooo wowo