SHARE

Birthday Lyrics By Ommy Dimpoz | READ

SHARE

Read Birthday Lyrics By Ommy Dimpoz. This is track number 1 in Ommy Dimpoz's debut album titled Dedication

READ ALSO: Read Hasara Roho Lyrics By Ommy Dimpoz Featuring Marioo & Musa Keys

Read Birthday Lyrics By Ommy Dimpoz Below:

Hmmm
Ah hmmm

Leo ni siku nzuri umetimiza miaka kadhaa
Ashukuriwe Rabana na wazazi waliokuzaa
Furaha imeshamili umependeza sana umeng’aa
Siku yako imefana Maisha marefu mema

Habity wangu wee ndio kipenzi changu
Leo ni siku yako laazizi wa moyo
Uvungu wangu mtunza siri zangu
Waubani wangu haujajaaliwa choyo

Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you

Mungu akuzidishie amani, mpenzi wangu wee
Kamwe sitakushusha thamani, habity wangu wee
Laaziz waubani wa mwandani, nuru yangu wee
Yaani kama umeletwa duniani, kwaajili yangu wee

Habity wangu wee ndio kipenzi changu
Leo ni siku yako laazizi wa moyo
Uvungu wangu mtunza siri zangu
Waubani wangu haujajaaliwa choyo

Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you
Happy Birthday to you, to you

Basi tukate cake
kata kata
Lolo lololo
Kata kata
Ahhhh
Ale tuimbe sote, imba imba imba imba
Lolo lololo
Twendeni kati tujumuike tucheze
Cheza cheza
Lolo lololo
Cheza cheza
Ahhhh

Related

ADVERTISEMENT