SHARE

Read Mimi Ni Nani Lyrics By Roma Mkatoliki

SHARE

Read Mimi Ni Nani Lyrics By Roma Mkatoliki. The song is currently trending in Tanzania and East Africa in general.

READ ALSO: Read Nipeni Maua Yangu Lyrics By Roma Mkatoliki Ft Abiudi

Read Mimi Ni Nani Lyrics By Roma Mkatoliki Below:

VERSE 1 

Mnaikumbuka ajali ya MV Bukoba

Chanzo ni mimi nikaua watu elfu moja

Hata Nyerere hakufa kwa kansa ya damu

Mnajidanganya na wengi hamjanifahamu

Nilimuua mwalimu huko Uingereza

M-vi spice ile ajalii nilitengeneza

Na hata Lulu ni bure tuu mlimfunga

Mimi ndo niliyemuaa marehemu Steven Kanumba 

Kuna muda ikigoma sumu naua kwa kisu

Kipindi niko Dodoma nilitaka kumuua Lissu 

Kila mkoa kila nchi natembea

Nilienda Afrika kusini nikamuua Ngwair 

Malaria ilimuua Langa si eti eeh

Kweli hamnijui mi ndo nimemuua yule mwamba

Lusanga Muheza Tanga

Mnaikumbuka ile ajali

Ya Sharo mi ndo niliyepindua ile gari

Na Mkudee nikamuacha azuge Tanga nikamfata Udeude 

South wakasema si uje na huku umuue Ruge

Sikufanya ajizi nikamfata mchizi

Je nani anaefatia saa hizi

CHORUS 

Mimi ni nani ? israel mto roho

Mi sio israel

Mimi ni nani ? we ni Mungu basi

Mi sio Mungu

Mimi ni nani ? labda mtume au Yesu

Mi sio hao

Mimi ni nani ? we ni ni ni ni

Je mi ni nani ? mwenzetu basi jambazi, sio jambazi

Mimi ni nani ? we ndo kifo mwenyewe

Mi sio kifo

Mimi ni nani ? shetani we pepo tokaa

Sio shetani

Mimi ni nani ?

Mimi ni nani ?

VERSE 2 

Hivi mnadhani mi naumia nikiwaona mnalia

Ama mnadhani mi nahofia nikiona mna fear

Je mi ni nani au mnadhani mnaweza nizuia

Haiwezakani nawaambia hadi niimalize dunia

Sina mipaka ndo mana nikautoa uhai wa Mkapa  

Na mpaka mnazika sikusita tena kumfata Magu 

Na niliua  na ghadhabu nika ondoka na roho yake

Na nchi nzima ikastaajabu

Dan du, complex, Banza VV

Maize B, Je B, comba jiz

Niliwaua watanganyika wakalia

Hata Bi kidude maalim safe wazanzibar waliumia

Mbalamwezi nilimuua usiku sana

Sam Wa Ukwelu  sikutaka kumuuaa mchana

Kwa mzee Majuto sikutaka kutumia bunduki

Wengi hamkumbuki jinsi gani nilimuua Sajuki

Ndomana mnayasingizia maradhi

Eti corona come on, mi ndo nime muua Kijazi

Na hata ukisema eti unikwepe njia hii hupiti

Wengi wamenikwepa coco beach nimewaulia kibiti

CHORUS 

Je mi ni nani? Au ndo Yule tunaye mngoja

Mi sio huyo

Mimi ni nani ? kiama mwisho wa dunia

Mi sio  kiama

Mimi ni nani ? mmh ma’ke hapo nikae kimya nisije nika fuata mimi

Mimi ni nani ? we ni ni ni ni

Mimi ni nani ? mmh mwenzetu basi jini

Mi sio jini

Mimi ni nani ? we ndo roho mwenyewe

Mi sio roho

Mimi ni nani ? we ndio nafsi ya umauti

Mi sio nafsi

Mimi ni nani ?

Mimi ni nani ?

VERSE 3

Mna kumbuka vituko vya ma-saw gange wa be-le

Mna kumbuka ajali ya kivuko chaM-vi nyerereh

Mi ndo niliyemuua Yule mrembo nika zamisha kile chombo

Ajali segera mombo ni mimi na sio uongo

Ukweli nakupa mi ndio niliyemuua amina chief hooper

Hadi baharini naibuka nan do pan-chow nika mkuta

Nikaondoka na uhai wake tena papo hapo

Miezi mine nika muua zee ler na siku ishia hapo

Sichagui jinsia uwe shujaa uwe na kasoro

Ndomana nika muua see pwa hata ma under zo row

Uwe viongozi wale wanao pendwa na wengi

Ndomana nikaua ruaha katare nikaua na mengi

Wengine naulia hospitali nawaua kinyonge

Mna zisingizia ajali mnasema ni pombe

Sijali mna jichanganya ndo mana nika muua ki bornday

Mnajidanganya mi naua hata mmeze vidonge

Huwa nacheka nikiona mnaisingizia ngoma

Nasema bado hamja nijua na bado mtakoma

Na ili ujue kua mimi yani mimi hapa noma

2002 nilimuua baba yake roma

Je mi ni nani ?

Related

ADVERTISEMENT