Read Mi Nachekaga Tu Lyrics By Kontawa
Read Mi Nachekaga Tu Lyrics By Kontawa. The song has been well-received in Tanzania and East Africa, and beyond.
READ ALSO: Read Mbalamwezi Lyrics By Kontawa Ft Jay Melody
Read Mi Nachekaga Tu Lyrics By Kontawa Below:
Mchumishe demu tembele
Kama unataka mbogamboga
Ukivaa boxer jua
Umevaa bodaboda
Mnaonipima nguvu
Mnisikilize mara moja
Nna nguvu kiasi kwamba naweza
Nikampa mimba shoga
Mama rudia ana watoto wawili
Wa kwanza anaitwa Tena
Wa pili ataitwa nani
Aaaah Aaaaah rudia
Waislamu hawapendi pombe na
Hawataki kuisikia
Ila unaweza kuta mke wa Ustadhi
Ana mguu wa bia
Na kwenye group la Adamu
Huwezi ukakuta admini
Utapita chaka zote hakuna
Rapa kama mimi
Na wanachonishangaza hawa marapa
Wa mjini
Wanaimba nyimbo ngumu
Alafu kwenye simu wanaweka laini
Kwa muda mrefu najiuliza
Ila jibu sipati
Kati ya Messi na Ronaldo yupo
Anapiga sana pasi
Nahisi ndoto nyingine sijui
Zinatokea wapi
Nimeona Yesu anarudi ila
Amepanda basi
Wabongo wanapenda uongo ndo
Maana hatuongei kweli
Unaweza kuta mzee magari
Hajawahi milili hata baiskeli
Home nna mabuti mengi
Mi si napenda vikali
We ukivaa buti la Jeje
Navaa buti la gari
Kama hunitaki sikutaki yaani
Sitaki watu feki
Naounguza resi kama kudunda nadunda
Kama kitenesi
Huwaga napiga badi wanaojifanya
Wamepinda
Nimegundua sketi nyingi hapa mjini
Hazina marinda
Shemeji usintenge mi uzalendo
Utanshinda
Maana mi ndo yule mtoto
Amezaliwa amedinda
Hawa jamaa wananiogopa utasema
Nimevaa mabomu
Wanaimba saresare sa si wavae unifomu
Watu wanaogopa maradhi hiyo ndo
Bongo Dot Com
Yaani mpaka hodi wanagonga na
Kondomu
Hey lord niko mbele yako napiga goti
Sipigi bebe sipigi picha
Sipigi makofi
Am hot sema nahitaji sana makofi
Maana juzi kuna mwanga mtaani
Kaniomba tochi
Binadu si mmea ila akilala anaota
Huo ndo ukweli na siwezi kuongopa
Akitoa mchanaji ambaye atachana
Hadi nkaogopa
Ntatembea uchi kuanzia Ilala
Mpaka Posta