SHARE

Mfano Lyrics by Founder

SHARE

Founder Lyrics

Read, sing aloud and enjoy Mfano Lyrics by Founder. The song is well received by fans in Tanzania and beyond.

READ ALSO: Siji Lyrics by Zuchu

Read Mfano Lyrics by Founder below:

Mmmh Mmmh Mmmh
Mmmh Mmmh Mmmh

Kuna mtoto fulani anaitwa zabibu
Mnamjua huyo nyie, hatumjui
Mtoto fulani mtaratibu yaani
Kweli hamumjui, hatumjui
Muda mwingi anakaa darasani akijisomea
Ukimwomba jibu hakunyimi
Anakwambia tu ngojea
Ni mtiifu Zabibu wala hana kiburi Zabibu
Acha wazazi ni wasifu wa Zabibu
Wamempata mtoto mzuri Zabibu

Mtoto mzuri yule mwenye sifa njema nyumbani
Mtoto mzuri hasifiwi mabaya nyumbani
Mtoto mzuri asifiwi kwa ugomvi jamani
Napenda niwe kama ye
Mnaonaje nimuige na mimi

Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano

Tena ana kanuni moja
Ndo ninayoipenda sana
Akija shuleni mpaka umuone amefana
Hapendelei sana mambo ya ujana
Huyo huyo zabibu

Zabibu ni mtoto mwenye heshima pia na ukarimu
Ndo maana shuleni anakubalika sana na walimu
Huwezi mkuta hovyo hovyo kwenye vikao
Mada zisizo na msingi na watu kibao
Zabibu Ooh Zabibu Ooh
Napenda wake utaratibu Oooh
Tumuige Oooh Zabibu Oooh
Ameyashinda mengi majaribu

Mtoto mzuri yule mwenye sifa njema nyumbani
Mtoto mzuri hasifiwi mabaya nyumbani
Mtoto mzuri asifiwi kwa ugomvi jamani
Napenda niwe kama ye
Mnaonaje nimuige na mimi

Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano
Mfano tuige mfano tuige mfano

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT