Read Mbali Nawe Lyrics By Jay Melody
Read Mbali Nawe Lyrics By Jay Melody. The song marks another time that Jay Melody has scored a hit song in Tanzania.
READ ALSO: Read Nitasema Lyrics By Jay Melody
Read Mbali Nawe Lyrics By Jay Melody Below:
Once Again
Masikini mimi
Mwenzako mimi
Naumia Sana
Japo nishajua mimi
Kuwa sawa na wewe
Haitawezekana
Hata nikishuka chini
Ndo Unaniona
Mi Mjinga Sana
Eti umepatwa nini
Mbona hapo mwanzo
Ulitulia Aaaaaah
Na wala sio mbali
Sio mbali tulikuwa karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari
Nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Au kuwa na mie hautamani
Basi niambie kosa gani
Basi niambie jinsi gani
Utakuwa sawa baby
Mmmmh nikueleze jinsi gani
Vile nimekuweka moyoni
Hata unipime kwa mizani
Nitajaa kwako honey
Mi naumwa siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Mi naumwa siko sawa
Lako penzi ndo yangu dawa
Na wala sio mbali
Sio mbali tulikuwa karibu na malengo
Na leo kiutani kama utani
Umeshindwa kuumaliza mwendo
Na tena haujali haujali
Ukiondoka utaacha pengo
Hakuna cha habari
Nikae mbali
Huku kuachwa bila maelezo
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe
Mbali nawe mbali nawe