SHARE

Read Mama Watoto Lyrics By Bahati

SHARE

Read And Sing Aloud Mama Watoto Lyrics By Bahati. The song has been well received in Kenya and East Africa.

READ ALSO: Read Abebo Lyrics By Bahati Featuring Prince Indah

Read Mama Watoto Lyrics By Bahati Below:

Sherry eeeh eeh 

Sherry eeeh mama

Sherry eeeh 

Mama watoto 

Mungu amenipa binti ananifaa mimi 

We umenipa kabinti 

Kanafanana na mimi 

Hapo najua una differ na mimi 

Lakini iko nini 

Huyo ni mimi juu chini 

Umefanya nikaitwa daddy 

Kila siku mummy eeeh 

Stamina mummy eeeh 

Nizeeke niitwe granny 

Be my hunnie 

Stamina granny 

Aaah uchu wangu mama 

Unaulinda sana 

Vituko vyangu mama asante sana 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Wacha ni go straight to the point kama mbaya 

Moyo wangu umeiteka iko nayo 

Ulinipenda before ni go on five 

Nikiwa nimechakaa kaaa 

Nywele za kajaya 

Miaka kumi imepita siamiji 

Bado mapenzi iko tigiht 

Ka budget ya maskini 

Umekuwa loyal hata nikiwa chini 

Regardless DMs za masifi wa mjini 

…… wangu hujaweka hadharani umekanyangia 

Mtu wa sherahani na vituko zangu hata 

Zikiwa gaji 

Hujanambia mtu hata majirani 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Umefanya nikaitwa daddy 

Kila siku mummy eeeh 

Stamina mummy eeeh 

Nizeeke niitwe granny 

Be my hunnie 

Stamina granny 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Sherry eeh mama 

Shery eeh 

Mama watoto 

Related

ADVERTISEMENT