SHARE

Official 'Lala Lyrics' by B2K Mnyama Featuring Vanillah

SHARE

B2K Mnyama and Vanillah Lyrics

Read, sing aloud and enjoy Lala Lyrics by B2K Mnyama Featuring Vanillah. The song has been well received by fans in Tanzania and beyond

READ ALSO: Read La La La Lyrics By Ali Kiba Featuring K2ga, Abdu Kiba, Tommy Flavour & Vanillah

Lala Lyrics by B2K Mnyama Featuring Vanillah below:

Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha 

Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha 

Mara tu ukinisogelea

Ukinigusa ukinikumbatia 

Kwangu naona zawadi 

Story za mapenzi wakiniletea 

Mbona wazushi wanazingua 

Mbona sisi tuko good 

Hawajui unavyonipendelea 

Waninyonyesha huku nimekua 

Upendo umezidi 

Mpaka unikumbate ndo unaongea 

Nikiwa mbali baby hujazoea 

Au unafanya kusudi 

Kuna wao af kuna sisi 

Kuna wewe af kuna mimi 

Tulianza kama utani na 

Saivi tunaenjoy love 

Mchana kweupe hatujifichi

Nipe nikupe yani mambo fiti 

Tulianza kama utani na 

Saivi tunaenjoy love 

Lala lala lalaa La lalalaaaa 

Lala lala lalaa La lalalaaaa 

Uyeeee Aaaaah 

Ooooh Aaaaaaaah 

Na ikiwa mapenzi sumu 

Basi we ndo utaniua 

Wanadamu wakitaka nihukumu 

Naomba simama kunitetea 

Maaana sio mwilini tu uuh 

Mpaka moyoni unanijua 

Uwezo wa mabody guard sina 

Mi mnyonge ntakulinda na dua eeeh 

Usoni moyoni nimejawa na furaha 

Na macho ila sioni wa kuninyima raha 

Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha 

Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha 

Mpaka sasa tunavyojipemda hadi raha 

Mpaka sasa unavyonipenda hadi raha 

Lala lala lalaa La lalalaaaa 

Lala lala lalaa La lalalaaaa 

Nakupenda leo kesho mpaka kufa baby 

Lala lala lalaa La lalalaaaa 

Mmmh i love you 

Lala lala lalaa I love you Uuuh

Find other Lyrics of Tanzanian songs Here

Get Fresh updates as they drop via Twitter and Facebook

Related

ADVERTISEMENT